Mabalozi wetu walio ughaibuni wote wako Bongo kupigwa msasa na kushiriki katika uchaguzi mkuu jumapili hii. hivi sasa wanakula darasa la siku nnne juu ya uongozi bora na wa kisasa ili kukidhi haja ya sera mpya ya diplomasia ya kiuchumi ambayo Bongo tunaifuata huko Bagamoyo katika hoteli ya Paradise

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. siku hizi wameacha kunuka soksi au mwendo ni ule ule

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...