Naweka picha hii kama zawadi kwako eee Ndesanjo Macha ulie ughaibuni ikiwa kama shukrani ya kunibatiza kuwa mwanablogu tulipokutana helsinki septemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Duh!
    Kumbe michuzi wewe si mwenzetu!
    Mimi nimezoea kukuona police officers mess kumbe we mtu wa mawingu tu!
    Karibu zanzibar yakhe unywe japo kikombe cha gahawa

    ReplyDelete
  2. Michuzi, kweli nakubali hii ni zawadi ya mwaka mpya. Umenijaza kumbukumbu kibao. Natazama mlima wa Ruwa (mungu), natazama na hicho kihaisi cha Kiboriloni, natazama na hiyo Dabo Rodi, nadhani ni karibu na soko la chini, kwenye duka la Rasta Omari (mmoja wa walimu wangu enzi zangu nikiwa Rasta). Asante kwa zawadi hii ya mwaka mpya wa Kirumi.

    ReplyDelete
  3. Naona na maduka ya wahindi ambayo kama ile "saa ya ukombozi" aliyokuwa akitangaza Mtikila ingefika yangekuwa yetu.

    ReplyDelete
  4. bwana ndesanjo naona umesahau kabisa rangi za vihais vya nyumbani hicho chenye mstari wa kijani sio cha kiboriloni ni cha kcmc

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...