Enyi mliomsoma 'Kuli' mmepata muona mtunzi wake? Basi huyo ndo Shafi Adam Shafi, yupo bado anadunda hapa Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Asante kwa kutuwekea picha ya Gwiji huyu ambaye kitabu chake cha Kuli kinaelezea uwozo uliokuwepo Zanzibar miaka ile, sawasawa na ule unaotokea sasa lakini kwa sura nyingine

    ReplyDelete
  2. ningemuona nisingemtambua.
    shukran kwa picha

    ReplyDelete
  3. Asante sana kwa picha mimi kweli nilikuwa sijapata kumuona.Hivi hajatoa kitabu kingine hivi karibuni?

    ReplyDelete
  4. Halafu si ndiye aliyeandika pia: Kasri ya Mwinyi Fuad? Poa sana tumeweza kumuona.

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    Shukrani sana.
    Nilisoma kitabu cha Kuli nilipokuwa sekondari na sikutarajia hata siku moja kuona picha ya mtunzi wa kitabu hicho.
    Hivi sasa Bw. Shafi Adam Shafi ana makazi wapi?
    Ahsante tena.

    ReplyDelete
  6. Ndesanjo Kasri la Mwinyin Fuad ndo kisa cha kwanza kabisa cka jina la blog yangu kuitwa KASRI LA MWANAZUO.
    Mimi pia kipenzi cha huyu jamaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...