Huyu ndiye Nancy Sumary Miss Tanzania 2005. wenye uwezo wa kubofya wampigie kura ashinde miss world.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Michuzi,
    Kazi nzuri ya habari kwa picha.Nadhani ingekuwa vyema kama ungetoa na kiunganishi cha wapi wakereketwa wanaweza kumpigia kura Nancy Sumari.Fanya hivyo basi

    ReplyDelete
  2. nimependa nywele zake za usinga

    ReplyDelete
  3. Kwa picha hii hawa wazungu wangalikua na hisia za mahaba kama sisi waswahili hakika Nancy angalikamata taji japo la pili au la tatu. Lakini kwao hatamanishi.Kazi nzuri baba. Bingo!!

    ReplyDelete
  4. Hongera kwa kuwa Miss Afrika 2005.

    ReplyDelete
  5. Michuzi ulijua nini kuwa atakuwa mshindi wa sita (au Miss Afrika). hebu mimina picha zake zaidi halafu akirejea Bongo mahojiano naye uyapost kwenye blog (najua utamuhoji tu ili uweke kwenye kale ka pullout ka kwenye Sunday Noise- nakamiss kwelikweli). Ikiwezekana mfundishe kufungua blog.Hongera zake.

    ReplyDelete
  6. Ndaga Mwaipopo!

    Sijui uli kughu, but nadhani dua zetu sote zimesaidia. une ndi nk'afu.

    michuzi

    ReplyDelete
  7. Ndi ku-juesei. Ngamenye ukuti ulinyakyusa. Naatigi ulimundu itolo.

    Kazi nzuri baba.

    ReplyDelete
  8. She is beautiful for sure.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 17, 2006

    michuzi ,una nini na binti wa watu?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 01, 2006

    shes's really pretty, a real african queen,mamiss wengine wa Tanzania walikua wanasindikiza tu.HONGERA NANCY.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...