Mwana mfalme wa blogu za kiswahili Ndesanjo Macha akiwasikiliza Mti Mkavu (kushoto) na Gotham helsinki mwezi wa septemba 2005.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Michuzi, MtiMkavu au MtiMkubwa???

    ReplyDelete
  2. Errr...Mti Mkubwa Mkavu (tehe tehe tehe...)

    ReplyDelete
  3. Kumbe ndesanjo kafanana na Damian Marley

    ReplyDelete
  4. Naomba Mrudisho nyuma au hadidu za rejea kwenye hayo mazungumzo kati ya mfalme wa bloguni na mti mkavu.

    ReplyDelete
  5. Hakyanani!!..Mkerewe wangu, ningekuona sasa hivi ningekupotea..

    ReplyDelete
  6. Naona Mti Mkubwa kabatizwa jina jipya...au tuseme kaongezewa jina: Mti Mkubwa Mkavu!

    Fide, umekubali jina?

    ReplyDelete
  7. Nikulilagwe wanabulogu bhabhabha na bhamayu, lelo Omukerebe nkwenda kuloma Gisukuma.

    Mayo wane, nshimba-nkima wane, nfumu-nkulu wane, obeja. OMutiMkulu uli wawe milele na milele.

    Tukwibona mayo wane,

    F MtiMkubwa Tungaraza

    ReplyDelete
  8. Awali ni ujumbe kwa Fikrathabiti,

    Kwa marejeo tu. Hapo palizuka mfumuko wa dhoruba ya kubadilishana mawazo juu ya kuwavua silaha vijana wa nchi za Kanda ya Maziwa Makuu. Uvuaji silaha kwa vijana wa nchi zilizoathirika na vita ndiyo moja ya shughuli za Mwanaharakati Gotham. Basi katika mazungumzo hayo tukajikuta sadfa, mawazo, na majadiliano yanatupeleka mpaka Liberia na Sierra Leone. Kikao kilikuwa kifupi lakini kilichojaa kila namna ya utajiri wa kiakili.

    Pili, kwa Ndesanjo,

    Mambo ya Michuzi ndiyo hivyo hivyo miye MtiMkubwa kwenda kuniita MtiMakavu ujue ana hila. Ukiona hivyo anataka kunikata kuni maanake unaokatwa kuni Mtimkavu. Muache aje kama misumeno na mashoka yake hatyatatoka mapengo na kuuacha MtiMkubwa umesimika kama alivyoukuta.

    Jamani Nawatakieni heri na mafanikio ya Mwaka Mpya 2006. Haya yote mliyoyafanya 2005 yameupa mwaka huo chemchem nyingi za furaha na matumaini.

    Watakabahu ni miye,
    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  9. Ndesanjo (formerly Gregory) Fide, ni furaha kuwaona

    Dan Nkurlu aka Babakulu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 14, 2006

    Ndesanjo is one hell of a good looking man....msafiiiii ona hata ngozi yake....repect man

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...