Hapa ndipo bio zooooote za kampeni zitaishia wiki ijayo. Mungu Ibariki Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Wabariki na watakaoingia.

    ReplyDelete
  2. Michuzi nambie siku hizi Ikulu ya Tanzania nayo inaitwa White House au umeamua kutumia tu bila kujua chanzo cha jina White House?

    ReplyDelete
  3. Makene,
    Michuzi hatokujibu,sio utaratibu wake kujibu kupitia blogu yake.Nilimuuliza jambo kuhusu Miss Tz 2005 na sikupata majibu.Ngoja nisimuhukumu,tusubiri tuone.

    ReplyDelete
  4. Bony, rangi ya hilo jumba ni ipi kwa mujibu wa macho yako? Jeff endelea kunilinda. mwambie najisahihisha na kuiita Nyumba Nyeupe (kwa rangi na si maana ya kimarekani)

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    Inatia hamasa kupata majibu kwenye blogu yako moja kwa moja.Nadhani hata Boniface atapata alichokuwa anakitafuta.

    ReplyDelete
  6. Nimefurahi, lakini rangi si hoja iite Ikulu yatosha maana wenzetu hilo jina licha ya kuwa liliambatana na rangi hiyo kuwa katika hilo jumba lao waliwahi na kugeuza mhimili wa jina halisi kama sisi tuitavyo ikulu. Kutumia White House sasa ina maana makao makuu ya serikali hii ya Bush. Nchini Tanzania ukumbi huo wa Kikwete unaitwa Ikulu. Nami nashukuru kwa majibu kupitia blogu yako.

    ReplyDelete
  7. Bonny 'Ikulu' sio jina la state house ya Tanzania tu. Ni jina la state house yoyote duniani.Hata hiyo White House ya Marekani ni ikulu pia. Au ili unielewe vema 'ikulu' ni common name. Sijui kama isimu ya kizungu unaikumbuka vema.

    ReplyDelete
  8. Haya tena mijitu mizima mmekaa mnabishania White House, Ikulu, Nyumba Nyeupe? Ni nini? Hebu bishaneni ni nani anaeiongoza Tanzania? Mimi nasema ni wamerekani! na si sisi wenyewe wa Tanzania kama wanavyodhani wengi! Haya anaepinga aseme na anae-unga-mkono.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...