Dr Asha-Rose Migiro akiapa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ikulu, Dar. Hii haisisimui kwa kuwa tu yeye ni mwanamama wa kwanza kushika wadhifa huo bali pia marais mkapa na kikwete wamepita wizara hiyo, je inaashiria nini kwa mwaka 2010?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Demu oooops.... maza yuko fresh. Bila shaka ni intelejenti fulani....

    ReplyDelete
  2. Michuzi nakujulisha kwa 2010 hana lake.Kwani wewe hujui chama tawalani utamaduni ni kushika wadhfa kwa kipindi cha miaka 10???
    labda tusubiri 2015!

    Halafu mimi sipendezwi na watu kumuita "Condoleza rice" Kwani mtu maarufu na shupavu lazima atoke marekani????

    Huyu ni Asha rose migiro mwanamama shujaa TANZANIA.Hili linatosha.Tusipokua makini tutamuita hata shujaa wetu KIKWETE kua ni BUSH wa Tanzania!!!!Huu umarekani utatupeleka wapi?????

    TUBADILIKE SASA!

    ReplyDelete
  3. Asante! FikraThabiti.

    TUBADILIKE SASA!

    ReplyDelete
  4. Fikra Thabiti sikia, sijaona ushujaa wowote wa huyo mama. Yaani katika Tanzania mtu akiteuliwa anakuwa shujaa! Mongela yuko wapi na kama ni shujaa huyo mama mbona kang'ang'ania viti vya kugawiwa?

    Naungana nawe kwani huyo hawezi kuwa Condy Rice! Subiri tuone mfupa uliomshinda aliyemteua kama yeye ataumudu. Tuna mijimama hapo Bongo lakini huyu wa Jinsia na Watoto sikuona kubwa alilofanya kwa miaka kumi. Najua tu ni family Friend wa Mzee Kikwete kwa hiyo yangu macho.

    ReplyDelete
  5. Bwana makene hoja yangu imejikita zaid katika kukataa unazi wa kimarekani ambao umechukua sehemu kubwa ya fikra za watanzania na hata viongozi wetu wakuu wa nchi kua kila kitu kizuri/Cha kipekee na vinginevyo muhimu vinatoka marekani.HUU NI UTUMWA WA KIMAWAZO!

    Utasikia viongozi wetu siku hizi kila wanapotaja mafanikio yoyote katika maendeleo lazima REFERNCE iwe marekani!!!!hilo ndilo nalipigia kelele.

    ReplyDelete
  6. Anastahili pongezi mh. Kikwete maana amecheza kama Pelle (Mwanasoka maarafu ulimwenguni) Ila wenye wivu ndio wanachonga sana kwa kifupi Dr Migiro ni kichwa msije fikiria Mh. JK anachanguwa watu kwa sura au urafiki amechaguwa wachapa kazi na uzuri keshawapa taarifa wananchi na mawaziri wake kuwa waziri atakaye lala hatamaliza miaka 5.

    ReplyDelete
  7. I agree why must we always compare ourselves with Americans. Why should american women become our role models. I am not impress at all She is Kikwete friend.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...