amiri jeshi mkuu wa bongo jk akiwa na viongozi wakuu wa majeshi nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Michuzi tusaidie na picha za madaktari waliogoma.

    ReplyDelete
  2. Amiri akiwa na vijana wake wa kazi hawa ndo wanapaswa kusimamia amani na utulivu sasa maana Afande Mahita kafeli na bora waanze kupiga msasa JWTZ na JKT kwa ajili ya kutulindia doria tuwapo kitandani

    ReplyDelete
  3. Hao madaktari hawajagoma, bali walikuwa katika halakati za kudai malipo mazuri ya mishahara,wale ambao wako nje mnajua jinsi wenzetu wanavyojali watu wanaotunza afya zao.Vipi mbunge ambaye anapiga porojo bungeni na wengine hugeuza mahali pa kwenda kusisinzia alipwe milioni za fedha wakati daktari ambaye ni wa muhimu analipwa laki nne,wanablog mnaona watu hawa wanatendewa haki?mbona hakuna uwiano wa malipo kutokana na mchango wako kwa taifa.Mpaka sasa mimi binafsi sioni mchango wa bunge letu zaidi kama siyo manufaa yao tu.wakubwa hawa hawaoni umuhimu wa madaktari kwani mtindo wa sasa mkubwa yeyote akiugua anaenda kutibiwa africa kusini.
    hakuna tofauti na jinsi walivyo telekeza swala la elimu maana watoto wao wanasoma nje au international school,kwa hiyo shule za makabwela wacha watoto wakae kwenye mchanga, siyo wakwao.Hayo ndo matatizotuliyonayo wakubwa hawaoni shida hayawagusi wao.

    ReplyDelete
  4. anony hakuna ubishi ulichosema..ndio kilio chetu...hutuita wapinzani tukiwauliza mambo ya msingi kama haya!

    ReplyDelete
  5. Hizo picha za madaktari waliogoma, zinasaidia nini hasa hapa kwenye blogu? Ndio zitaongeza mishahara au ndio watu wanataka kuziona kisha wacheke? Hebu kwa haki kabisa mtu anieleze, hizo picha zitamsaidia yeye nini na zitawasaidia nini madktari katika maslahi yao??? Kweli akili zetu tofauti! sheeesh! whew!

    ReplyDelete
  6. Mh! Watanzania tuna mitazamo mifupi sana. Eti mtu anaomba picha za hao wahanga 29 (madaktari waliofukuzwa). Badala ya kuomba mkate tunaomba nyoka!

    Hivi sisi raia (wagonjwa wa kitanzania) tunaumia saaaaana tukiona daktari akiomba alipwe mshahara sawasawa na kazi anayofanya? Hivi hatutajisikia vizuri kama daktari aliyepewa dhamana ya afya zetu atakuwa analipwa vizuri kwa sababu ya kazi nyeti anayoifanya kwa kuhudumia afya zetu (Kumbuka sasa tunavyowaambukiza na hili gonjwa la ukimwi).

    Ila tunataka watu wa TRA ndio wapewe mishahara na marupurupu mazuri maana wanafanya kazi nyeti ya kukusanya kutoka mifukoni mwetu. Upuuzi huu. Laiti tungalijua yapasayo.....

    ReplyDelete
  7. shame on your damn nose...wewe uliyeomba picha za madaktari29.Huoni aibu....watakusaidia nini ukiwajua sura zao..sh#&*%

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...