mzee mzima akilisakata na mkewe kwenye hafla jana usiku, ikiwa ni mtoko wake wa kwanza tangia atundike daruga mwezi desemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Mmh!..Baba wa aina hii huwa hatabiriki, hapo mtoto lazima uwe umejiandaa kwa lolote wakati wote.

    ReplyDelete
  2. Kumbe Beni amemfuanana na meneja masoko wa wiraya ya murreba!

    ReplyDelete
  3. tamu sana!! ila anawaza hizi fumua fumua za Jk washikaji itakuwaje?

    ReplyDelete
  4. alianza kama kikwete tu, "uwazi na ukweli" tume ya warioba(rushwa)nk. baadae akachoka na tena wala hakutaka tena kuzungumzia kuhusu tume ya warioba.Ben waghaibu wanamkubali sana,amejitahidi sana anastahili kupewa sifa kadhaa.JK na "nguvu mpya ari mpya" tunasubiri ni mapema mno, ila naye atakuwa kama brazaake Ben baadae? atachoka? au baadae itakuwa "Ruksa" mafanikio mema mtukufu rais. jamjuah

    ReplyDelete
  5. Wewe achana na JK hii nguvu bwana uliona wapi tume inapewa siku na mara baada ya kutoa ripoti kesho yake majibu yanawafikia raia. Huyu ndiye JK rais wa wananchi anayetaka kuigeuza nchi yetu iwe ya wananchi wa chini na sio Ben bwana mwacheni aende tu mzee huyu wa Tax return

    ReplyDelete
  6. Tatizo si tume wala nini, Jamjuah ana hoja. Ben alianza hivyo hivyo matokeo yake sote tunajua. Kwanza Kikwete hakutakiwa kuunda tume, wale walitakiwa kufikishwa mahakamani period. Mwendesha mashataka ndio angeita hao waliohojiwa na tume. Huo ulikuwa ubadhirifu wa pesa ya walipa kodi.

    ReplyDelete
  7. ila Beni alikuywa hataki kukosolewa! ukimwambia serekalini kuna rushwa alikuwa hataki kukubali! Mtikila naye anafikiria kufile ngoma The Hague kwa ajili ya kuua wapemba! - madaraka si kitu cha kuchekelea wala kuchezea! unaweza ukaishia lupango mida ya uzeeni!

    Jk naye anaonekana anabeat around the bush...ndani ya miezi 6 iliyopita maraisi wawili (Afrika kusini na Malawi)wamewakung'uta makamu wa raisi itakuwa Omari?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 16, 2006

    JOJINA,JOJINA UMEONDOKA JOJINA........

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 18, 2006

    Duh! Kumbe anko Ben naye anayaweza?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...