waziri mkuu EL akiahirisha bunge leo baada ya kukaa kwa mara ya kwanza toka uchaguzi mkuu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Vipi wamediscuss ubadhilifu, ufisadi, rushwa na uozo ulioripotiwa kuwapo katika wizara ya mambo ya nje (balozi) za Bongo out?

    ReplyDelete
  2. aah huyu mwanamume naona anapambana na miundo ya tawala za mikoa na wilaya kwanza... katoa hotuba nzuri sana kuwa muda wa kubebena umekwisha..na amesisitiza kuwa vyombo vya habari vina nafasi kubwa sana kujenga, visikimbiwe!

    http://www.uchaguzitanzania.com/new/articles/4224/1/Viongozi-mzigo-watoswe---Lowassa

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli ile nchi ina mambo mengi sana ya kufanya ndio maana nawaonea huruma hao jamaa. Mikoani, wizarani, wilayani kote matatizo. Ujambazi, Rushwa na kila kitu. Unajua kosa moja kubwa likishafanyika linagharimu nchi makumi ya miaka kulirekebisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...