hapa ndipo kitovu cha umeme cha bongo ambapo sasa kinakauka kutokana na kukosekana mvua kiasi hata serikali imetangaza tenda ya kupata mtu atayeweka mitambo ya umeme ya chupa ya chai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi umeme wa IPTL umefikia wapi? si tunalipa USD 3.4 Million kila mwezi, na matumizi yake walisema ni wakati wa ukame kama huu ndipo tutakapoona umuhimu wake?

    Dennis

    ReplyDelete
  2. Hilo la IPTL Michuzi uko karibu ebu tufafanulie huko mbona tunakosa umeme wakati hayo MAAIPITIELO YANALIPWA FEDHA ZETU?

    ReplyDelete
  3. Michuzi, umeme wa chupa ya chai ni wa nuclear?

    ReplyDelete
  4. KUHUSU IPTL:

    Serikali hailipi sh3.4bn kila mwezi, inalipa sh8bn kila mwezi. Sh3.5bn ni capacity charge, inalipwa hata kama mitambo haifanyika kazi. na sh4.5bn ni kununua umeme kama unazalishwa wote, yaani wote Megawati 100. kwa sasa unazalishwa wote plus megawati 190 za mitambo ya gesi ya Songas. Mahitaji ya umeme ni zaidi ya megawati 480

    ReplyDelete
  5. hiyo pesa ya umma wanayoiba wakubwa si wanunue maji waweke humo! inatosha sana tu. jj

    ReplyDelete
  6. Je kikwete ana mpango gani wa kuongeza umeme nchini? Come on we can do better that this.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...