Home
Unlabelled
bwawa la mtera
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi umeme wa IPTL umefikia wapi? si tunalipa USD 3.4 Million kila mwezi, na matumizi yake walisema ni wakati wa ukame kama huu ndipo tutakapoona umuhimu wake?
ReplyDeleteDennis
we acha tu...
ReplyDeleteHilo la IPTL Michuzi uko karibu ebu tufafanulie huko mbona tunakosa umeme wakati hayo MAAIPITIELO YANALIPWA FEDHA ZETU?
ReplyDeleteMichuzi, umeme wa chupa ya chai ni wa nuclear?
ReplyDeleteKUHUSU IPTL:
ReplyDeleteSerikali hailipi sh3.4bn kila mwezi, inalipa sh8bn kila mwezi. Sh3.5bn ni capacity charge, inalipwa hata kama mitambo haifanyika kazi. na sh4.5bn ni kununua umeme kama unazalishwa wote, yaani wote Megawati 100. kwa sasa unazalishwa wote plus megawati 190 za mitambo ya gesi ya Songas. Mahitaji ya umeme ni zaidi ya megawati 480
hiyo pesa ya umma wanayoiba wakubwa si wanunue maji waweke humo! inatosha sana tu. jj
ReplyDeleteJe kikwete ana mpango gani wa kuongeza umeme nchini? Come on we can do better that this.
ReplyDelete