THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

chalinze


washkaji wakitoka basi lile na kukimbilia lingine kuuza bidhaa kama njugu, korosho, ndizi n.k. mjini chalinze


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    nduguze JK hao,mwenzao yuko white house anakula kuku!

  2. Anonymous Anasema:

    cheki hiyo nguvu kazi iliyotakiwa izalishe mali kwa kusukuma jembe kweli tutafika watu wanakimbilia ulaya na marekani huku watu walihangaika kwa nguvu kazi sio kubabaisha na karanga pakiti 6
    Mzee wa Arlington Va.