washkaji wakitoka basi lile na kukimbilia lingine kuuza bidhaa kama njugu, korosho, ndizi n.k. mjini chalinze

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. nduguze JK hao,mwenzao yuko white house anakula kuku!

    ReplyDelete
  2. cheki hiyo nguvu kazi iliyotakiwa izalishe mali kwa kusukuma jembe kweli tutafika watu wanakimbilia ulaya na marekani huku watu walihangaika kwa nguvu kazi sio kubabaisha na karanga pakiti 6
    Mzee wa Arlington Va.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...