THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

hodi zenj


mojawapo ya boti za abiria ikikata maji kuelekea zenj. kwa kawaida boti za kasi huchukua dakika 90 kufika na nauli bei ni sh. 12,000/- kwa kicha , lakini kama hii ni tujisaa tutano tu na nauli ni kuanzia 2,500/- hadi maelewano...


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  mr michuzi unachapia sana,

 2. Anonymous Anasema:

  Yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap nimekupata mkuu, kuanzia 2500 mpaka maelewano.....
  Dennis

 3. mark msaki Anasema:

  menda pole hajikwai..unajua pamoja na lawama nyingi soko huria lina nafasi kubwa ya kumbeba mnyonge! kama mtu hawezi kuafford miguu ya kuku, basi anauziwa ile ambayo haijaparuliwa ili akahangaike nayo! maana yake ni kwamba mwenye bucha kaondoa kumlipa mfanyakazi kuparua na wakati huo huo kamuwezesha mlaji!! mwisho wa siku protini ngoma droo!!!