mojawapo ya boti za abiria ikikata maji kuelekea zenj. kwa kawaida boti za kasi huchukua dakika 90 kufika na nauli bei ni sh. 12,000/- kwa kicha , lakini kama hii ni tujisaa tutano tu na nauli ni kuanzia 2,500/- hadi maelewano...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mr michuzi unachapia sana,

    ReplyDelete
  2. Yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap nimekupata mkuu, kuanzia 2500 mpaka maelewano.....
    Dennis

    ReplyDelete
  3. menda pole hajikwai..unajua pamoja na lawama nyingi soko huria lina nafasi kubwa ya kumbeba mnyonge! kama mtu hawezi kuafford miguu ya kuku, basi anauziwa ile ambayo haijaparuliwa ili akahangaike nayo! maana yake ni kwamba mwenye bucha kaondoa kumlipa mfanyakazi kuparua na wakati huo huo kamuwezesha mlaji!! mwisho wa siku protini ngoma droo!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...