mwalimu akihutubia jangwani mwaka 1957, bi titi akiwa naye benet. huyu mama jamani katoka mbali kweli, basi tu mambo ya bongo. lakini angalau ana kamtaa kalikoitwa jina lake kama kumbukumbu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. safi sana ni mrejesho nyuma tulikotoka!

    ReplyDelete
  2. Enzi hizo kulikuwa hakuna helikopta au TOT....

    ReplyDelete
  3. mjanja kutoka bara kaingia mjini, watu mikono juu! wamemkubali manake.jamjuah

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...