THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

joini njema


hapa ni forodhani, unguja, mida ya saa kumi na mbili jioni...


Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  huu ndio mwanzo wa kipindupindu! jamjuah

 2. Anonymous Anasema:

  wacha upuzi jamani. waweza kusemaje ati ni mwanzi wa kipindupindu? enda zako

 3. Anonymous Anasema:

  tazama chakula hicho.

 4. mark msaki Anasema:

  kipindupindu haikai karibu na maji chunvi! Michuzi ukienda siku nyengine sogea hadi pale unaona mama wa kizungu mwambie yule jamaa akutengezee "Zanzibar Pizza" ni kali sio kama hizi za wazungu!

  lakini huyo jamaa hapo juu kasema kweli! Forodhani ni mbele tu ya jumba la maajabu ambalo ni hifadhi kuu ya historia ya mwambao! pia ni kadestiny kazuri ka utalii na watasha kujivinjari - ni muhimu pakawa safi na pakanakshiwa zaidi! unapokamua ng'ombe umpe na majani!ushauri wa bure "waambie waheshimiwa washuke beach ya Durban wajifunze kutengeneza mambo" Durbana huitwa the playground of Africa au beach africa. si hela tu huendesha mambo, ni nia zaidi!

 5. Anonymous Anasema:

  jamani hapa napo kumbe kuna picha
  http://www.blog.co.tz/athumani/

  Gawe.