Home
Unlabelled
joini njema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huu ndio mwanzo wa kipindupindu! jamjuah
ReplyDeletewacha upuzi jamani. waweza kusemaje ati ni mwanzi wa kipindupindu? enda zako
ReplyDeletetazama chakula hicho.
ReplyDeletekipindupindu haikai karibu na maji chunvi! Michuzi ukienda siku nyengine sogea hadi pale unaona mama wa kizungu mwambie yule jamaa akutengezee "Zanzibar Pizza" ni kali sio kama hizi za wazungu!
ReplyDeletelakini huyo jamaa hapo juu kasema kweli! Forodhani ni mbele tu ya jumba la maajabu ambalo ni hifadhi kuu ya historia ya mwambao! pia ni kadestiny kazuri ka utalii na watasha kujivinjari - ni muhimu pakawa safi na pakanakshiwa zaidi! unapokamua ng'ombe umpe na majani!ushauri wa bure "waambie waheshimiwa washuke beach ya Durban wajifunze kutengeneza mambo" Durbana huitwa the playground of Africa au beach africa. si hela tu huendesha mambo, ni nia zaidi!
jamani hapa napo kumbe kuna picha
ReplyDeletehttp://www.blog.co.tz/athumani/
Gawe.