hapa ni forodhani, unguja, mida ya saa kumi na mbili jioni...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. huu ndio mwanzo wa kipindupindu! jamjuah

    ReplyDelete
  2. wacha upuzi jamani. waweza kusemaje ati ni mwanzi wa kipindupindu? enda zako

    ReplyDelete
  3. tazama chakula hicho.

    ReplyDelete
  4. kipindupindu haikai karibu na maji chunvi! Michuzi ukienda siku nyengine sogea hadi pale unaona mama wa kizungu mwambie yule jamaa akutengezee "Zanzibar Pizza" ni kali sio kama hizi za wazungu!

    lakini huyo jamaa hapo juu kasema kweli! Forodhani ni mbele tu ya jumba la maajabu ambalo ni hifadhi kuu ya historia ya mwambao! pia ni kadestiny kazuri ka utalii na watasha kujivinjari - ni muhimu pakawa safi na pakanakshiwa zaidi! unapokamua ng'ombe umpe na majani!ushauri wa bure "waambie waheshimiwa washuke beach ya Durban wajifunze kutengeneza mambo" Durbana huitwa the playground of Africa au beach africa. si hela tu huendesha mambo, ni nia zaidi!

    ReplyDelete
  5. jamani hapa napo kumbe kuna picha
    http://www.blog.co.tz/athumani/

    Gawe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...