hili ndilo jumba la ajabu zenj, ambapo ilisemekana nguzo zake hizi zilijengwa kwa kutumia watu. ukweli ni kwmba hadi wakati huo hakukuwa na jumba kubwa la ghorofa visiwani unguja na bara. pia liliitwa jumba la ajabu kwa kuwa lilikuwa la kwanza kuwa na umeme (wa jenereta) pamoja na lifti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. naomba nirekebishe hapo. ni kwamba chini ya kila nguzo kuliwekwa fuvu la kichwa cha mtu......

    ReplyDelete
  2. yaani watu walikuwa kama matofali, meno kama zege, au....?

    ReplyDelete
  3. Mwaipopo,
    Sura yako hapo pembeni na maneno yako, yanafanana sana, unaonekana ni mtu wa kufuka ile mbaya.

    ReplyDelete
  4. Yaani wewe anonimasi ulikuwa hujui hilo?

    ReplyDelete
  5. Beit al Ajab ndio jina lake la kiarabu, si ndio?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...