soko jipya la samaki magogoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nikiwa Dar mwenyewe aaah! Ugali na samaki wa baharini saaafi. Lakini awali ilikuwa kazi kuwazoea samaki wa baharini. Mwenyewe nilishazoea-ga samaki mbasa wa ziwa Nyasa. Anayemjua samaki huyu anifananishie ladha yake na samaki yoyote wa baharini.

    ReplyDelete
  2. harufu inayotoka hapo lakini, mhh, acha tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...