THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

kina migiro


profesa cleophas migiro akiwa na mkewe dk. asha-rose migiro kwenye hafla. profesa ni mwanasayansi mheshimika duniani katika nyanja za mazingira na pia ni mwenyekiti wa bodi ya tbs, shirika la viwango la bongo. mkewe ni waziri wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa.


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. mark msaki Anasema:

  hapo safi...hakuna ubabaishaji. halafu JK kacheza poa. huyo mama ana kazi ya kukuza uchumi wa taifa (economic diplomacy) na huyo mzee ana kitengo maalumu kinachoweza kuhakikisha ubora wa bidhaa zetu ziuzike nje tufauduke walau...mfano ng'ombe milioni 14 anaopiga nao kelele JK...namna hiyo humo ndani itakuwa hakuna kulala ni kazi tu! na inaruhusiwa!

 2. Anonymous Anasema:

  Asha-Rose naye kumbe akipaka wanja wamo.

 3. Anonymous Anasema:

  Japokuwa msomi lakini atazingatia mahusiano mazuri na wafadhili na kutusaidia maana tunakufa njaa

 4. Anonymous Anasema:

  hii wizara rahisi kabisa hapo bongo tena hata ingewekwa chini ya office ya Raisi au PM,, angepewa mambo ya ndani ndio ingemfaa., huyu prof ndie anayeruhusu bidhaa fake kama utitiri,, ila wamekula bonge la pose!