profesa cleophas migiro akiwa na mkewe dk. asha-rose migiro kwenye hafla. profesa ni mwanasayansi mheshimika duniani katika nyanja za mazingira na pia ni mwenyekiti wa bodi ya tbs, shirika la viwango la bongo. mkewe ni waziri wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hapo safi...hakuna ubabaishaji. halafu JK kacheza poa. huyo mama ana kazi ya kukuza uchumi wa taifa (economic diplomacy) na huyo mzee ana kitengo maalumu kinachoweza kuhakikisha ubora wa bidhaa zetu ziuzike nje tufauduke walau...mfano ng'ombe milioni 14 anaopiga nao kelele JK...namna hiyo humo ndani itakuwa hakuna kulala ni kazi tu! na inaruhusiwa!

    ReplyDelete
  2. Asha-Rose naye kumbe akipaka wanja wamo.

    ReplyDelete
  3. Japokuwa msomi lakini atazingatia mahusiano mazuri na wafadhili na kutusaidia maana tunakufa njaa

    ReplyDelete
  4. hii wizara rahisi kabisa hapo bongo tena hata ingewekwa chini ya office ya Raisi au PM,, angepewa mambo ya ndani ndio ingemfaa., huyu prof ndie anayeruhusu bidhaa fake kama utitiri,, ila wamekula bonge la pose!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...