nadhani mmesikia kwamba yanga na simba mwaka huu itachezeshwa na mwamuzi mwanamke. basi ndiye huyo...









Gadget
This content isn't available over encrypted connections yet. |
Sunday, February 19, 2006
kinama wamo nao
VideoBar
This content isn't available over encrypted connections yet. |
Mie Hofu imenitanda,
Mama kuchezesha kandanda,
Simba sura yake yaonekana,
Akivurunda walahi tutambana.
Huyu vijana watamtisha tu.. hamna haja ya kumbonda wala kumnyanganya Card..
DADA,JIFUNZE JUDO,KARATE,KULENGA SHABAHA NA USIKOSE KUWA NA REVOLVER KIUNONI.HAKIKISHA HUONGEI NA MCHEZAJI PUNGUFU YA MITA TATU NA KUENDELEA!UMENIELEWA DADA?