THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

lipumba na tibasana


mwenyekiti wa cuf akipiga stori na kamishna laurent tibasana, mkuu wa operesheni na mafunzo jeshi la polisi, akiwa na cheo cha tatu toka juu. wa pili ni wilfred mwansasu, mkuu wa utawala na fedha


Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. mwandani Anasema:

  Tibasana, tibaigana, ti...
  Nakibadili kidoogo, Tingaraza naweza kupata u-afande

 2. Kwa hiyo mwandani na mimi nijiite Timakene ili niukwae UIGP ambao sasa uko vacant?

 3. John Mwaipopo Anasema:

  Timwaipopo je? Siwezi walau kupata U-Zombe wa Mbeya hivi.

 4. mark msaki Anasema:

  inapendeza sana haya na miye Ti-alama! any way, inafurahisha jinsi huyo polisi alivyojichanganya na mheshimiwa! polisi hutakiwa kuwaheshimu viongozi hao kama "mabosi watarajiwa" bila kuwabagua, na kuwapoa haki sawa - si vinginevyo!hata kama upepo utapelekea kupata kura moja! - hii pia hujenga imani kwa mabosi watarajiwa kutokuwa na chuki na yeyote hivyo kuepusha misuguano na zahama zisizo na manufaa kwa inji yetu! Mahita hajateremka chini tu?

 5. Anonymous Anasema:

  Position si ndio Madaraka na Rank si ndiyo cheo au sivyo wajameni? Kama ni hivyo cheo chake si cha tatu bali ni cha pili maana huyu ni Kamishina wa polisi akiwa ametoshana ubavu na Mwansasu, Adadi na nani sijui wako kama watano tu hivi!!