mwenyekiti wa cuf akipiga stori na kamishna laurent tibasana, mkuu wa operesheni na mafunzo jeshi la polisi, akiwa na cheo cha tatu toka juu. wa pili ni wilfred mwansasu, mkuu wa utawala na fedha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tibasana, tibaigana, ti...
    Nakibadili kidoogo, Tingaraza naweza kupata u-afande

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo mwandani na mimi nijiite Timakene ili niukwae UIGP ambao sasa uko vacant?

    ReplyDelete
  3. Timwaipopo je? Siwezi walau kupata U-Zombe wa Mbeya hivi.

    ReplyDelete
  4. inapendeza sana haya na miye Ti-alama! any way, inafurahisha jinsi huyo polisi alivyojichanganya na mheshimiwa! polisi hutakiwa kuwaheshimu viongozi hao kama "mabosi watarajiwa" bila kuwabagua, na kuwapoa haki sawa - si vinginevyo!hata kama upepo utapelekea kupata kura moja! - hii pia hujenga imani kwa mabosi watarajiwa kutokuwa na chuki na yeyote hivyo kuepusha misuguano na zahama zisizo na manufaa kwa inji yetu! Mahita hajateremka chini tu?

    ReplyDelete
  5. Position si ndio Madaraka na Rank si ndiyo cheo au sivyo wajameni? Kama ni hivyo cheo chake si cha tatu bali ni cha pili maana huyu ni Kamishina wa polisi akiwa ametoshana ubavu na Mwansasu, Adadi na nani sijui wako kama watano tu hivi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...