mafundi wa ndege za serikali mzigoni. bongo tunao wataalamu waliobobea kwenye anga hizi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hala hala wasijekosea. Sio gari hilo ambalo likiharibika safarini mwaliegesha pembeni mpaka fundi atoke Iringa ama Morogoro (mkiwa Mikumi kwa mfano). Je mkiwa angani mtaegesha wapi? Ndege twazikwea lakini zatisha yakhe!

    ReplyDelete
  2. mbona watia puti?

    ReplyDelete
  3. Vipi ndio wanatengeneza foka aliyonunua MRAMBA KWA AJILI YA MKAPA. Namaanisha kale kandege alikosema Michuzi kuwa ni kao

    ReplyDelete
  4. Viti lazima waweke karibu karibu ili watu wabanane ku maximise faida kama mabasi ya kwenda mikoani.

    ReplyDelete
  5. Yaani unamaanisha hii ndio ile gulfstream 550 mpya iliyo chukua mamilioni ya Pesa?
    Kama ni kweli ni hasara tupu!!!

    Tanzania kuwa na wataalamu wengi wa kila aina ni faida kwa Taifa letu na Wananchi.

    Kuwa na wataalamu dizaini hii Tunajitaidi kwa mapango huu.


    MK

    ReplyDelete
  6. Hii bodi mngenipa mimi niipeleke kwetu Kimanzichana kwa ajili ya kufugia kuku.

    ReplyDelete
  7. Hivi jamani, mimi kila leo nasoma juu ya kununuliwa ndege mpya na mashirika ya ndege huko nyumbani kama precision air nk. naomba kuuliza huu upya ni upya wa brand new au ni ule upya wa kama magari tunayonunua autorec (used abroad, new in Tz)? Ndege zinahitaji viwango vya usalama wa hali ya juu sana ama sivyo tutakumbwa na majanga kama ya DRC ambao wanamashirika ya ndege kama utitiri lakini hata moja haliko katika viwango vya usalama wa kimataifa na ndiko kunakoongoza kwa ajali za ndege. ebu chungulia hii link http://ec.europa.eu/transport/air-ban/pdf/list_en.pdf

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...