THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

mambo niaje?


jamaa wa kipemba akiziingiza kwa mtasha bustanini forodhani, unguja


Kuna Maoni 6 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Brother Michuzi si unaona watu wanavyotafuta safari? Sio masihara kidogo.

  Dennis

 2. Anonymous Anasema:

  Na kweli, hapo hakuna penzi kabisaaa! ni safari tu.

 3. Anonymous Anasema:

  Nilifikiri mambo haya yanatokea Gambia peke yake(magambia wamechanjia kwa mchezo huu).
  Kumbe hata siye tumefunga tela.
  -Tunga

 4. Indya Nkya Anasema:

  Michuzi sikuwezi. Hii kali

 5. Anonymous Anasema:

  Naona mchizi anatafuta ticket ya kuingia mtoni na hilo tenki.

 6. mark msaki Anasema:

  anony umeninifurahisha! ni kama hapa sauzi watu wanastrago kuoa wanawake wa kizauzi ili walambe uraia! basi wanawake wa sauzi wanapanda chati kama huyo mama anayeangalia juu - wakifurahia ladha ya utaifa kubwa! ngoja tu tukaze buti ipo siku dada zetu nao watapanda chati tu!! au unasemaje Da Mija?