jamaa wa kipemba akiziingiza kwa mtasha bustanini forodhani, unguja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Brother Michuzi si unaona watu wanavyotafuta safari? Sio masihara kidogo.

    Dennis

    ReplyDelete
  2. Na kweli, hapo hakuna penzi kabisaaa! ni safari tu.

    ReplyDelete
  3. Nilifikiri mambo haya yanatokea Gambia peke yake(magambia wamechanjia kwa mchezo huu).
    Kumbe hata siye tumefunga tela.
    -Tunga

    ReplyDelete
  4. Michuzi sikuwezi. Hii kali

    ReplyDelete
  5. Naona mchizi anatafuta ticket ya kuingia mtoni na hilo tenki.

    ReplyDelete
  6. anony umeninifurahisha! ni kama hapa sauzi watu wanastrago kuoa wanawake wa kizauzi ili walambe uraia! basi wanawake wa sauzi wanapanda chati kama huyo mama anayeangalia juu - wakifurahia ladha ya utaifa kubwa! ngoja tu tukaze buti ipo siku dada zetu nao watapanda chati tu!! au unasemaje Da Mija?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...