barabara ya morogoro kama ionekanavyo leo toka juu ya daraja la manzese, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi uminikumbusha enzi zangu nanunua mitumba hapo. Vipi mitumba bado ipo, na ni mizuri kama ya zamani? Najua siku hizi hata Bongo watu wameacha ama kupunguza kununua mitumba. Maendeleo hayo.

    ReplyDelete
  2. mitumba gikajapo, ghiri ku urafiki, ubungo...nya mwaipopo.

    ReplyDelete
  3. external servive!!!!! hivi ile redio bado ipo? je ilikuwa ni exteranal kweli au kwa maanya kusikilizwa na mabalozi? je bado kuna idha ya taifa na ya biashara?

    ReplyDelete
  4. mie nasikiliza klaaaaaaaaudz efeeeeemmmmmm....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...