hivi hapa pana mnazi kweli?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ulikuweko zamani. Ulishazeeka-ga na kuanguka-ga na kuoza-ga

    ReplyDelete
  2. Labda mnazi ulikatwa na wale wafanyabiashara waliokinunua kiwanja hicho toka kwa mzee Ruksa. Ingawa mzee Ruksa hakuwa rais tu bali alikuwa pia ni muuzaji wa viwanja vya wazi, maeneo ya michezo ya watoto, n.k. Mnakumbuka wananchi walipoamua kukataa kuuzwa kwa kiwanja hicho?

    ReplyDelete
  3. kha kwa kweli ruksa alikuwa rukhsa kweli hivi ingekuwaje hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...