THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

mwamkumbuka huyu?


je, kinababa na kinamama wa ughaibuni. mwamkumbuka huyu?


Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

 1. Mike Mhagama Anasema:

  Adam Sapi Mkwawa?

 2. Anonymous Anasema:

  ndiye haswa! Adamu Sapi Mkwawa!

 3. Semkae Anasema:

  Hivi hizi style za turban zimepotelea wapi?

 4. Mlia Kuvana Anasema:

  Wanyalukolo huko Iringa bado wanatilia kiremba, hasa hasa wale wazee na katika shughuli muhimu za kimila, km, tambiko, mazishi nk

 5. Anonymous Anasema:

  Enzi hizo fasheni ya kuwa spika wa bunge ilikuwa uwe chifu. Kabla Chifu Adam Sapi Mkwawa alikuwa Chifu Erasto Mang'enya.

  Siku hizi fasheni unaingia uspika na mkeo waziri. Alianza Spika Pius Msekwa na Waziri wa Afya Mama Anna Abdallah. Sasa kaja Spika Samwel Sitta na Waziri wa Elimu na Ufundi Mama Magreth Sitta.

  Mchana wanaitana "..Mheshimiwa Spika.." "..Mheshimiwa Mbunge.." Wakirudi nyumbani wanaitana "..mama nanihii.." "..baba nanihii.." Hili igizo linaniacha nacheka hapa mbele ya kompyuta kama nimerukwa na akili.

  F MtiMkubwa Tungaraza.

 6. mwamgimwa Anasema:

  beee huyu ni mwamuyinga period!!
  bee unatukumbusa mbali sana

 7. Anonymous Anasema:

  Si lazima mambo yawe kama zamani, hapana budi kuwe na maendeleo na mabadiliko. Si kila cha zamani ni kizuri.