je, kinababa na kinamama wa ughaibuni. mwamkumbuka huyu?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Adam Sapi Mkwawa?

    ReplyDelete
  2. ndiye haswa! Adamu Sapi Mkwawa!

    ReplyDelete
  3. Hivi hizi style za turban zimepotelea wapi?

    ReplyDelete
  4. Wanyalukolo huko Iringa bado wanatilia kiremba, hasa hasa wale wazee na katika shughuli muhimu za kimila, km, tambiko, mazishi nk

    ReplyDelete
  5. Enzi hizo fasheni ya kuwa spika wa bunge ilikuwa uwe chifu. Kabla Chifu Adam Sapi Mkwawa alikuwa Chifu Erasto Mang'enya.

    Siku hizi fasheni unaingia uspika na mkeo waziri. Alianza Spika Pius Msekwa na Waziri wa Afya Mama Anna Abdallah. Sasa kaja Spika Samwel Sitta na Waziri wa Elimu na Ufundi Mama Magreth Sitta.

    Mchana wanaitana "..Mheshimiwa Spika.." "..Mheshimiwa Mbunge.." Wakirudi nyumbani wanaitana "..mama nanihii.." "..baba nanihii.." Hili igizo linaniacha nacheka hapa mbele ya kompyuta kama nimerukwa na akili.

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2012

    Si lazima mambo yawe kama zamani, hapana budi kuwe na maendeleo na mabadiliko. Si kila cha zamani ni kizuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...