wataalamu wakimalizia kazi ya kumtegeneza nguva aliyevuliwa kisiwani mafia na kuamuliwa kuwekwa makumbusho ya taifa kumaliza ubishi kwamba hawa wanyama ni nusu mtu nusu samaki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani tunakufa na njaa... tuleteeni chakula hicho...

    ReplyDelete
  2. halafu anaonekana ni mtamu kama kiti moto cha saa sita mchana pale sabasaba!

    kwani huyu na seal wana tofauti gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...