THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

no smoking


jamaa aliyetaka 'kuharibu' nje ya ubalozi wa uingereza akiwa anakula 'no smoking'.


Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Sasa kwani walishindwa kumwambia polepole?..aagh!

 2. MK Anasema:

  Hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu ktk nchi nyingi za kiafrika na zingine zinazo endelea.

  Umeona jinsi wanajeshi wa Uingereza walivyo kamatwa na kushitakiwa kwa kufanya mambo kama haya nchini Iraq angalia http://www.sky.com/skynews/picture_gallery/picture_gallery/0,,30000-1212398,00.html
  au
  http://www.sky.com/skynews/article/0,,30000-1212390,00.html

  au http://www.newsoftheworld.co.uk/story_pages/news/news1.shtml

  au http://www.newsoftheworld.co.uk/story_pages/news/news2.shtml

  Ni vizuri kwa nchi zetu kuiga mfano na kuacha kunyanyasa watu.Ndio ni mualifu iwe mwizi, Kibaka ama jambazi lakini naye huyu mtu ana haki zake kama raia na sio kumbuluza namna hii.

  Ingekuwa ni vizuri kwa Serikali kutoa elimu ya bure kwa vyanzo vyetu vya ulinzi jinsi ya kukabiliana na mambo kama haya, Maana hii haina tofauti na kumbuluza mbuzi kwenda machinjoni,

  Sio siri ina kera sana.

  Haya ni maoni yangu binafsi,

  MK

 3. MK Anasema:

  Hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu ktk nchi nyingi za kiafrika na zingine zinazo endelea.

  Umeona jinsi wanajeshi wa Uingereza walivyo kamatwa na kushitakiwa kwa kufanya mambo kama haya nchini Iraq angalia:

  skynews1

  au
  skynews2

  au News of the world1

  au
  News of the world2

  Ni vizuri kwa nchi zetu kuiga mfano na kuacha kunyanyasa watu.Ndio ni mualifu iwe mwizi, Kibaka ama jambazi lakini naye huyu mtu ana haki zake kama raia na sio kumbuluza namna hii.

  Ingekuwa ni vizuri kwa Serikali kutoa elimu ya bure kwa vyanzo vyetu vya ulinzi jinsi ya kukabiliana na mambo kama haya, Maana hii haina tofauti na kumbuluza mbuzi kwenda machinjoni,

  Sio siri ina kera sana.

  Haya ni maoni yangu binafsi,

  MK

 4. Anonymous Anasema:

  KWA NINI WANAMTESA MTU ANAPOJIPATIA BURUDANI?

 5. John Mwaipopo Anasema:

  Michuzi kiluga cha "No Smoking" kimeniacha hoi.

 6. Anonymous Anasema:

  Wanatumia nguvu nyingi mnoo kwa mambo yasiyo ya lazima kwenye mambo ya lazima wanashindwa.

 7. mark msaki Anasema:

  na huyo mwananchi mungine Mpiganjira ah ni Mpita njia hakui aanzie wapi lakini sidhani kama anafanana na wale kwenye igizo la mchina kumbonda mbongo hati kufa la Da mija na Tunga!