jamaa aliyetaka 'kuharibu' nje ya ubalozi wa uingereza akiwa anakula 'no smoking'.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Sasa kwani walishindwa kumwambia polepole?..aagh!

    ReplyDelete
  2. Hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu ktk nchi nyingi za kiafrika na zingine zinazo endelea.

    Umeona jinsi wanajeshi wa Uingereza walivyo kamatwa na kushitakiwa kwa kufanya mambo kama haya nchini Iraq angalia http://www.sky.com/skynews/picture_gallery/picture_gallery/0,,30000-1212398,00.html
    au
    http://www.sky.com/skynews/article/0,,30000-1212390,00.html

    au http://www.newsoftheworld.co.uk/story_pages/news/news1.shtml

    au http://www.newsoftheworld.co.uk/story_pages/news/news2.shtml

    Ni vizuri kwa nchi zetu kuiga mfano na kuacha kunyanyasa watu.Ndio ni mualifu iwe mwizi, Kibaka ama jambazi lakini naye huyu mtu ana haki zake kama raia na sio kumbuluza namna hii.

    Ingekuwa ni vizuri kwa Serikali kutoa elimu ya bure kwa vyanzo vyetu vya ulinzi jinsi ya kukabiliana na mambo kama haya, Maana hii haina tofauti na kumbuluza mbuzi kwenda machinjoni,

    Sio siri ina kera sana.

    Haya ni maoni yangu binafsi,

    MK

    ReplyDelete
  3. Hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu ktk nchi nyingi za kiafrika na zingine zinazo endelea.

    Umeona jinsi wanajeshi wa Uingereza walivyo kamatwa na kushitakiwa kwa kufanya mambo kama haya nchini Iraq angalia:

    skynews1

    au
    skynews2

    au News of the world1

    au
    News of the world2

    Ni vizuri kwa nchi zetu kuiga mfano na kuacha kunyanyasa watu.Ndio ni mualifu iwe mwizi, Kibaka ama jambazi lakini naye huyu mtu ana haki zake kama raia na sio kumbuluza namna hii.

    Ingekuwa ni vizuri kwa Serikali kutoa elimu ya bure kwa vyanzo vyetu vya ulinzi jinsi ya kukabiliana na mambo kama haya, Maana hii haina tofauti na kumbuluza mbuzi kwenda machinjoni,

    Sio siri ina kera sana.

    Haya ni maoni yangu binafsi,

    MK

    ReplyDelete
  4. KWA NINI WANAMTESA MTU ANAPOJIPATIA BURUDANI?

    ReplyDelete
  5. Michuzi kiluga cha "No Smoking" kimeniacha hoi.

    ReplyDelete
  6. Wanatumia nguvu nyingi mnoo kwa mambo yasiyo ya lazima kwenye mambo ya lazima wanashindwa.

    ReplyDelete
  7. na huyo mwananchi mungine Mpiganjira ah ni Mpita njia hakui aanzie wapi lakini sidhani kama anafanana na wale kwenye igizo la mchina kumbonda mbongo hati kufa la Da mija na Tunga!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...