THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

ofisi za daily news

kwa mlioko nje kwa zaidi ya miaka minne na hata wengine mlio hapa bongo, hii ndo ofisi mpya za magazeti ya daily news na sunday news ambako ndiko nakula mzigo. ni mtaa wa samora, si mbali sana na picha ya bismini, juu ya benki ya middle east ltd.

Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. John Mwaipopo Anasema:

  Nshapotea-ga hapo. Nilikuwa namtafuta-ga my friend wangu Chabby Barasa. Maelekezo aliyonipa-ga yakanichanganya halafu sikuwa-ga na namba yake ya simu. Nikaona-ga isiwe-ge tabu. Nikalala-ga mbele, ferry kuvuta sigara.

 2. Anonymous Anasema:

  tetetete! Mwaipopo ndugu yangu wewe kabila gani mbona ga, ga, ga nyingi au ndio vichekesho watuletea?

 3. John Mwaipopo Anasema:

  Jina langu lenyewe lakuambia natoka-ga wapi.

 4. Anonymous Anasema:

  Eehe bwana wewe kweli nimekubali na ga, ga, ga, ga. Labda wewe mtu wa Iringa (Hehe), Shinyanga, au Mwanza (Msukuma na Mnyamwezi).Nimepata hapo?

  Mzee watu wa aina hii wananiachaga hoi kinoma sana!! Nimewahi kupiga school na jamaa mmoja hivi alikuwa anatoa ga, ga, ga kama hana akili nzuri vile!

  Keep it up - Bonge la style hilo. Laonesha kweli wapenda nyumbani (In this great future, you can’t forget your past --> Bob Marley)

  Fresh kinoma.

 5. Anonymous Anasema: