kwa mlioko nje kwa zaidi ya miaka minne na hata wengine mlio hapa bongo, hii ndo ofisi mpya za magazeti ya daily news na sunday news ambako ndiko nakula mzigo. ni mtaa wa samora, si mbali sana na picha ya bismini, juu ya benki ya middle east ltd.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nshapotea-ga hapo. Nilikuwa namtafuta-ga my friend wangu Chabby Barasa. Maelekezo aliyonipa-ga yakanichanganya halafu sikuwa-ga na namba yake ya simu. Nikaona-ga isiwe-ge tabu. Nikalala-ga mbele, ferry kuvuta sigara.

    ReplyDelete
  2. tetetete! Mwaipopo ndugu yangu wewe kabila gani mbona ga, ga, ga nyingi au ndio vichekesho watuletea?

    ReplyDelete
  3. Jina langu lenyewe lakuambia natoka-ga wapi.

    ReplyDelete
  4. Eehe bwana wewe kweli nimekubali na ga, ga, ga, ga. Labda wewe mtu wa Iringa (Hehe), Shinyanga, au Mwanza (Msukuma na Mnyamwezi).Nimepata hapo?

    Mzee watu wa aina hii wananiachaga hoi kinoma sana!! Nimewahi kupiga school na jamaa mmoja hivi alikuwa anatoa ga, ga, ga kama hana akili nzuri vile!

    Keep it up - Bonge la style hilo. Laonesha kweli wapenda nyumbani (In this great future, you can’t forget your past --> Bob Marley)

    Fresh kinoma.

    ReplyDelete
  5. Eehe bwana wewe kweli nimekubali na ga, ga, ga, ga. Labda wewe mtu wa Iringa (Hehe), Shinyanga, au Mwanza (Msukuma na Mnyamwezi).Nimepata hapo?

    Mzee watu wa aina hii wananiachaga hoi kinoma sana!! Nimewahi kupiga school na jamaa mmoja hivi alikuwa anatoa ga, ga, ga kama hana akili nzuri vile!

    Keep it up - Bonge la style hilo. Laonesha kweli wapenda nyumbani (In this great future, you can’t forget your past --> Bob Marley)

    Fresh kinoma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...