THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

taifa stazi


hapa ni uwanja wa majimaji, songea. je waweza sema hii ni timu gani na hawa ni kina nani?


Kuna Maoni 13 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  kajole pembeeni. Na pita tino anakenyua meno

 2. Anonymous Anasema:

  aah, na juma mkambi

 3. Anonymous Anasema:

  pale namuona mohamedi salim, omari husein, george kulagwa, thuweni ali, peter tino. inawezekana mzizima united lakini siyo taifa stazi

 4. Fadhil Anasema:

  Hii itakuwa TAIFA STARS na sidhani kama ni Mzizima United kwa sababu Mohamed Salim alikuwa Tanga (Coastal Union), pia namuona Hussein Ngulungu ambaye alikuwa Tumbaku Moro.

 5. John Mwaipopo Anasema:

  Wazee nawavulia kofia.

 6. KEVIN Anasema:
  This comment has been removed by a blog administrator.
 7. Anonymous Anasema:

  kuna Thueni Ally yule Mzenji aliye karibu na Tino, pia mwenye Afro ni Geoge Kulagwa "Best", PIA YULE MFUPI ZAIDI YA WOTE NI MOHAMED HUSSEIN

 8. Anonymous Anasema:

  Hii ni timu ya LA Lakers na hao wachezaji ni Kobe Bryant na Shaquile O'neal

 9. Mudi Anasema:

  Michuzi, unaweza kutupatia picha za siku hizi za wachezaji wa zamani na habari kwa ufupi (waliko na wanafanya nini)?

 10. Anonymous Anasema:

  Namuona Machela,Ngulungu,Peter Tino,Mkweche,Saad Ally,

 11. Anonymous Anasema:

  kajole, simjui, simjui, idrissa ngulungu, juma mkambi, simjui, mohamedd salim, omar hussein, george kulagwa, thuweni ally, peter tino

 12. Anonymous Anasema:

  huyo aloshika mpira kama Katwila vile

 13. Chesi Anasema:

  ninaowajua, fuata kwa mpangilio kutoka kushoto.....
  mohamed kajole 'machela'
  simjui...
  simjui...
  hussein ngulungu
  juma mkambi 'general'
  salim amri
  mohamed salim
  omar hussein 'keegan'
  george kulagwa 'best'
  thuwein ally
  peter tino
  simjui...
  simjui...
  simjui...