hapa ni uwanja wa majimaji, songea. je waweza sema hii ni timu gani na hawa ni kina nani?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. kajole pembeeni. Na pita tino anakenyua meno

    ReplyDelete
  2. aah, na juma mkambi

    ReplyDelete
  3. pale namuona mohamedi salim, omari husein, george kulagwa, thuweni ali, peter tino. inawezekana mzizima united lakini siyo taifa stazi

    ReplyDelete
  4. Hii itakuwa TAIFA STARS na sidhani kama ni Mzizima United kwa sababu Mohamed Salim alikuwa Tanga (Coastal Union), pia namuona Hussein Ngulungu ambaye alikuwa Tumbaku Moro.

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  6. kuna Thueni Ally yule Mzenji aliye karibu na Tino, pia mwenye Afro ni Geoge Kulagwa "Best", PIA YULE MFUPI ZAIDI YA WOTE NI MOHAMED HUSSEIN

    ReplyDelete
  7. Hii ni timu ya LA Lakers na hao wachezaji ni Kobe Bryant na Shaquile O'neal

    ReplyDelete
  8. Michuzi, unaweza kutupatia picha za siku hizi za wachezaji wa zamani na habari kwa ufupi (waliko na wanafanya nini)?

    ReplyDelete
  9. Namuona Machela,Ngulungu,Peter Tino,Mkweche,Saad Ally,

    ReplyDelete
  10. kajole, simjui, simjui, idrissa ngulungu, juma mkambi, simjui, mohamedd salim, omar hussein, george kulagwa, thuweni ally, peter tino

    ReplyDelete
  11. huyo aloshika mpira kama Katwila vile

    ReplyDelete
  12. ninaowajua, fuata kwa mpangilio kutoka kushoto.....
    mohamed kajole 'machela'
    simjui...
    simjui...
    hussein ngulungu
    juma mkambi 'general'
    salim amri
    mohamed salim
    omar hussein 'keegan'
    george kulagwa 'best'
    thuwein ally
    peter tino
    simjui...
    simjui...
    simjui...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...