THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

tiba


huyu ndiye alfred tibaigana, mkuu wa polisi dar


Kuna Maoni 11 mpaka sasa.

 1. cheo chake ni kipi? cha ngapi kutoka juu? Anayeweza anitajie vyeo vya polisi kuanzia IGP hadi Assistant Inspector

 2. Anonymous Anasema:

  Kabla huja Assistant Inspector ni lazima kwanza uwe Lt. General

 3. John Mwaipopo Anasema:

  Hayo macho vipi? Mbona mekundu>

 4. Anonymous Anasema:

  Juu kabisa kuna Inspector General ambacho ni cheo na madaraka pia. Chini yake Commisioners of Police (CP) halafu kuna Deputy commissioners (DP), wakifuatiwa na Senior Assistant Commissioners of Police (SACP). Kwa chati wanafuata Assistant Commissioners of Police (ACP), halafu Senior Superintendent of Police (SSP), Superintendent of Police (SP). Hawa ndio wanaweza kulindana hata wakiboronga kazi.
  Hawa wengine ni maafisa lakini wakubwa wakikaliwa kooni wanawatosa; Assistant Superintendent (ASP), Inspector of Police (IP) wanafungakazi Assistant Inspector of Police (AIP).

 5. mark msaki Anasema:

  Tiba kwa kweli ana kazi. hebu tufafanulie. inawezekana askari wadogo wanampenda dar? maana walisema wanataka waonane na waziri wakiwa na tiba!

  huyu bwana picha zake zote jicho limeiva. kuna mawili, maji sana hau hapati usingizi! rafiki yangu Mary Zabron aliwahi kuniambia hata siku moja kazi haijawahi kuwa picnic..kazi ni kazi!

 6. Anonymous Anasema:

  jambazi huyu, tena mvuta bangi

 7. Anonymous Anasema:

  POLISI UNATAKIWA UWE NA SURA YA NAMNA HII,AU YA MAHITA KABISA!WAHARIFU WANAPENDA SURA NZURI?

 8. Anonymous Anasema:

  aaaa!! mmmh! Hawa wahalifu ni watatu,na naaa.mmm,tumewakamata na kuwa arrest.

 9. Anonymous Anasema:

  Huyu kweli atatulinda? mie naona ni jambazi sugu, angalia sura yake- amlewa au alikaa macho usiku ...aibu jamani

 10. Anonymous Anasema:

  Jamaa anafanya kazi yake vizuri, ila bangi mtu, kuiacha hawezi

 11. Anonymous Anasema:

  ni vigumu kurekebisha jeshi la polisi na kukabiliana na uharifu tanzania. katika jeshi hilo kuna mchanganyiko wa majambazi, wala-rushwa na mapolisi halisi wachache. Inakuwa vigumu ukiwa na wasiwasi na usalama wa mali yako umwamini nani maana hata ukiomba msaada wa polisi si ajabu yeye akawa ndio insider wa kutoa deal kwa waharifu.