huyu ndiye alfred tibaigana, mkuu wa polisi dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. cheo chake ni kipi? cha ngapi kutoka juu? Anayeweza anitajie vyeo vya polisi kuanzia IGP hadi Assistant Inspector

    ReplyDelete
  2. Kabla huja Assistant Inspector ni lazima kwanza uwe Lt. General

    ReplyDelete
  3. Hayo macho vipi? Mbona mekundu>

    ReplyDelete
  4. Juu kabisa kuna Inspector General ambacho ni cheo na madaraka pia. Chini yake Commisioners of Police (CP) halafu kuna Deputy commissioners (DP), wakifuatiwa na Senior Assistant Commissioners of Police (SACP). Kwa chati wanafuata Assistant Commissioners of Police (ACP), halafu Senior Superintendent of Police (SSP), Superintendent of Police (SP). Hawa ndio wanaweza kulindana hata wakiboronga kazi.
    Hawa wengine ni maafisa lakini wakubwa wakikaliwa kooni wanawatosa; Assistant Superintendent (ASP), Inspector of Police (IP) wanafungakazi Assistant Inspector of Police (AIP).

    ReplyDelete
  5. Tiba kwa kweli ana kazi. hebu tufafanulie. inawezekana askari wadogo wanampenda dar? maana walisema wanataka waonane na waziri wakiwa na tiba!

    huyu bwana picha zake zote jicho limeiva. kuna mawili, maji sana hau hapati usingizi! rafiki yangu Mary Zabron aliwahi kuniambia hata siku moja kazi haijawahi kuwa picnic..kazi ni kazi!

    ReplyDelete
  6. jambazi huyu, tena mvuta bangi

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2006

    POLISI UNATAKIWA UWE NA SURA YA NAMNA HII,AU YA MAHITA KABISA!WAHARIFU WANAPENDA SURA NZURI?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2006

    aaaa!! mmmh! Hawa wahalifu ni watatu,na naaa.mmm,tumewakamata na kuwa arrest.

    ReplyDelete
  9. Huyu kweli atatulinda? mie naona ni jambazi sugu, angalia sura yake- amlewa au alikaa macho usiku ...aibu jamani

    ReplyDelete
  10. Jamaa anafanya kazi yake vizuri, ila bangi mtu, kuiacha hawezi

    ReplyDelete
  11. ni vigumu kurekebisha jeshi la polisi na kukabiliana na uharifu tanzania. katika jeshi hilo kuna mchanganyiko wa majambazi, wala-rushwa na mapolisi halisi wachache. Inakuwa vigumu ukiwa na wasiwasi na usalama wa mali yako umwamini nani maana hata ukiomba msaada wa polisi si ajabu yeye akawa ndio insider wa kutoa deal kwa waharifu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...