polisi akilinda benki. nji sasa imetulia na kuleta wasi wasi kuwa labda kweli hawa jamaa hushirikiana na jamaa. unaambiwa hata loba hamna siku hizi bongo!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. hilo ndio tatizo. Polisi amekaa kizembe kama anacheza chakacha.

    ReplyDelete
  2. huruma! - pia inategemea jana alikuwa lini, nani na nani wanamdai na kama jamaa atakatiza amgalau kama alivyoahidi ili jioni unga wa ugali upatikane la sivyo kimbembe itabidi kumuachia mama Kayaii jukumu la kusolicite milo...na ikifika hapo ujihadhari usirudi na bunduki nyumbani...utaua tuu kwa vyovyote!

    ReplyDelete
  3. Muhidin,

    hiyo "unaambiwa hata loba hamna siku hizi bongo!" ina maanisha siku ngapi? Mbili, tatu, nne, wiki, mwezi, au mwaka? Na askari kulinda benki hawakuanza "siku hizi" wanazilinda tangu zamani lakini wakifika "mabwana fanya" wanalamba mishahara na akiba zingine kama zao. Jinginewe, askari analinda kuzuia majambazi lakini benki haziibiwi na majambazi tu kuna wezi wa kalamu na matapeli pia! Hao wanalindwa na nani? Fraud officers?

    Nimekumbuka nyimbo moja iliyoimbwa sana radioni kwenye tukio fulani kubwa la kitaifa, Nyimbo hiyo ilikuwa ikisema "Bunduki, risasi wala hatuzijali..." Kama utakumbuka nyimbo hiyo na tukio hilo utaupata ujumbe wangu kwa ufasaha zaidi.

    F MtiMkubwa Tungarza.

    ReplyDelete
  4. Tisha toto watu wa kazi wanakuja kumi na huyu bwana hapo pichani huenda akawa wa kwanza kuokoa maisha yake kabla ya raia anaowalinda

    ReplyDelete
  5. Just imagine ni mdogo wako huyo aliamua kwenda jeshi la polisi baada ya kukosa ajira zingine. Roho yako nahisi inakuwa juu juu kila wakati aendapo kazini. Itakuwaje maisha yake pale wazee wa kazi watakapoamua kuja kufanyiza.

    Vile vile just imagine wakubwa wake wa kazi wanamuamuru awatungue watu wasio na hatia risasi za midomoni. Kesho yeye ndiye atakayeandikwa kwenye tume na yule kibosile aliyemtuma kutoandikwa na kuepushwa na zahma nzima.

    ReplyDelete
  6. jama,polisi wana maisha magumu,wanapewa mishahara midogo,hivyo kama huyu inaonekana yupo kazini lakini anawaza pengine!!!!!!!
    ni matatizo ya kisaikolojia pamoja na hali halisi ya undata bongo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 18, 2006

    Jamani huu ndio ulinzi gani? Mbona mkono upo kiuononi? Au analinda mauno?

    ReplyDelete
  8. Tena hawa wanaolinda mabenki ndio wenye njaa kinoma, kazi kukamata wahindi usiku wa manane, kisa, wamepita ktk njia in a wrong direction, sasa analinda benki au anafukuzia shilingi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...