Home
Unlabelled
utamu wa sindimba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Macho hayo michuzi! Yapeleke kwingine basi.
ReplyDeleteKulalek! Sikujua Michuzi nawe unajua kucheza ngwashala. Nakubaliana na Mwaipopo kuhusu jicho lako. Unatazama nini? Halafu huyo jamaa aliyeko mkono wako wa kulia hiyo staili ni ngwashala nayo?
ReplyDeleteKingine ni hao wanawake nyuma yako. Nimependa sana mavazi yao. Ukikutana nao tena waambie.
wizara iwasaidie zaidi wasikate tamaa kudumisha mila setu!
ReplyDeletehuu ndio mwanzo wa kupeana virusi, baada ya ngoma,,,,,,eeehhh! jj
ReplyDeleteAcha upuuzi wewe unamanisha nini virusi? Mawazo yako yasiwe negative tu.
ReplyDeleteJamaa ameamua kutuwekea picha wewe watoa matusi. Jalibu kuwaza na kutumia lugha nzuri.
mambo ya virusi yametoka wapi?
ReplyDeleteUkisikia ujinga ndio huo wa kujadili yasiyotakikana hapa.
ReplyDeletesasa naona bloguni kunaanza kuibuka mamluki kutuharibia mwelekeo wetu.
ReplyDeleteNgoma na virusi vinahusiana kivipi?????Watu wenye fikra kama hawa hawatufai katika uwanja wetu huu mtukufu wa kulishana fikra!!!
Picha hii inanikumbusha Cho cha Sanaa Bagamoyo enzi hizo wakati wakihitimisha onyesho:
ReplyDeleteMwalimu Luiza Maganga: Kokoliikoo koX2 Kajogoo kalia koko
Wanachuo: Alialia ko ko alialia koko weX2
Baadaye lilipoingia chuoni 1988 kundi la wendawazimu (Marehemu Basil Jia mtaalamu wa kupiga ala zote za kiasili na uchezaji ngoma zote za kiasili, Gasper Tumaini sasa katibu wa TOT, Stephen Ndibalema, Selemani Rehani mara ya mwisho kuwasiliana naye alikuwa chuo kikuu cha Edinburgh, Dennis Mango, Solomon Mwasokwa wicked lead guitarist Chuo cha Sanaa to ever produced, John Shogholo mchoraji wa kimataifa, F MtiMkubwa Tungaraza, Marehemu Valentina Kiondo mwimbaji aliyetambuliwa kitaifa, Marehemu Grace Kassege, Marehemu Avina Mkapa, Graceana Kambanyuma, Mwanaima Sharif, na Joyce Fisoo) wakaona wimbo wa kokoliko umepooza wakabadilisha na kuingiza wimbo wa Askari Melimee. Wimbo ulitoholewa kutoka kwa Mganga wa asili Mwalimu Hassan wa Mlingotini Bagamoyo ambapo wanafunzi wa Chuo cha Sanaa walikwenda kushuhudia uganga wa jadi unavyoendeshwa siku ya waganga kufunga kitabu.
Siamini uchawi lakini nguvu ya wimbo huu wa Mganga Mwalimu Hassan kuwavuta watu jukwaani ilikuwa siyo ya kawaida.
F MtiMkubwa Tungaraza.