THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

uwanja wa vita


jamaa akipiga chebo mahali ambapo mlinzi wa duka la fedha la macsoms alipokula shaba na majambazi walioingia kwa gia ya muuza ndizi na kupora mamilioni kwa kutumia zaidi ya robo saa. polisi walifika robo saa baada ya jamaa kuanza


Kuna Maoni 6 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Hii wameliza leo tarehe 22 au? Mbona inakuwa hatari? Haya majambazi yamekuwa matukutu sasa!

 2. John Mwaipopo Anasema:

  Michuzi jana tu umetuambia Bongo sasa shwari. Hili ni tukio la zamani au vipi?

 3. ndesanjo Anasema:

  Hata mimi nataka kujua hii imetokea lini? Hizo ndizi alichukua nani?

 4. mark msaki Anasema:

  mama weee na hizo hapo chini ni damu?

 5. Indya Nkya Anasema:

  Ndesanjo acha ugomvi ndizi hailiki pale mbele ya shaba!!

 6. Anonymous Anasema:

  mwenye pesa bongo ni sawa na mmarekani ndani ya falujah-iraq anytime unauwawa,hakuna raha yeyote hapo.police wanaua na majambazi nao wanaua!jj