jamaa akipiga chebo mahali ambapo mlinzi wa duka la fedha la macsoms alipokula shaba na majambazi walioingia kwa gia ya muuza ndizi na kupora mamilioni kwa kutumia zaidi ya robo saa. polisi walifika robo saa baada ya jamaa kuanza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hii wameliza leo tarehe 22 au? Mbona inakuwa hatari? Haya majambazi yamekuwa matukutu sasa!

    ReplyDelete
  2. Michuzi jana tu umetuambia Bongo sasa shwari. Hili ni tukio la zamani au vipi?

    ReplyDelete
  3. Hata mimi nataka kujua hii imetokea lini? Hizo ndizi alichukua nani?

    ReplyDelete
  4. mama weee na hizo hapo chini ni damu?

    ReplyDelete
  5. Ndesanjo acha ugomvi ndizi hailiki pale mbele ya shaba!!

    ReplyDelete
  6. mwenye pesa bongo ni sawa na mmarekani ndani ya falujah-iraq anytime unauwawa,hakuna raha yeyote hapo.police wanaua na majambazi nao wanaua!jj

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...