makachero na askari magwanda wakihoji dereva na abiria wa gari hili walioporwa mkoba na majambazi kweupeeee karibu na taa za tazara. aluta kontinua...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wao ndio waliofanya ujangili huo hapo washazunguka na sasa wanaua soo tu.

    ReplyDelete
  2. na lile lori pale NAHACO mbona jina la mkao wa mashirika yaliyokufa? kweli kamera zinaongeaga!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...