THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

warembo wa miss utalii ya dunia


warembo wataoshiriki fainali za miss utalii wa dunia wakila pozi bongo tayari kwa mpambano lililohamishowa dar toka arusha hapo machi 11. nyooooooote mnakaribishwa.


Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  hawa sio warembo kweli, wauza pub hawa, model gani wanamatege namna hii! bado wazungu wanachezea watu akili ehee jj!

 2. Anonymous Anasema:

  kwakweli hawana hadhi hawavutii hawapendezi yaani ni matatizo tuuuuu. uchafu mtupu

 3. Anonymous Anasema:

  mwenzio michuzi amechanganyikiwa na binokulasi yake! matumpikele hayoooooo

 4. Anonymous Anasema:

  Huyo mwenye matege mimi nimemind

 5. Anonymous Anasema:

  Michuzi, utakuwepo kwenye hilo onyesho?

 6. kimanzichana Anasema:

  Hata mimi mwenye matege nimempenda. Na yule mwenye diresi ya kirimu pale kati kati ningeweza kumpeleka kwetu Kimanzichana mbona wangebuloo wazee wa kijiji?

 7. Fikrathabiti Anasema:

  Mchagua nazi mwishowe hupata koroma!!!!kwahiyo shauri yenu!!!