warembo wataoshiriki fainali za miss utalii wa dunia wakila pozi bongo tayari kwa mpambano lililohamishowa dar toka arusha hapo machi 11. nyooooooote mnakaribishwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hawa sio warembo kweli, wauza pub hawa, model gani wanamatege namna hii! bado wazungu wanachezea watu akili ehee jj!

    ReplyDelete
  2. kwakweli hawana hadhi hawavutii hawapendezi yaani ni matatizo tuuuuu. uchafu mtupu

    ReplyDelete
  3. mwenzio michuzi amechanganyikiwa na binokulasi yake! matumpikele hayoooooo

    ReplyDelete
  4. Huyo mwenye matege mimi nimemind

    ReplyDelete
  5. Michuzi, utakuwepo kwenye hilo onyesho?

    ReplyDelete
  6. Hata mimi mwenye matege nimempenda. Na yule mwenye diresi ya kirimu pale kati kati ningeweza kumpeleka kwetu Kimanzichana mbona wangebuloo wazee wa kijiji?

    ReplyDelete
  7. Mchagua nazi mwishowe hupata koroma!!!!kwahiyo shauri yenu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...